FALL 2018 READY-TO-WEAR :: TOM FORD

Tom Ford fashion show ilifanyika juzi ,kwanza Tom Ford relocated to LA from London in the last year ,sasa basi anahakikisha kua anaendeleza makamuzi kama kawaids.

His collection in 80’s vibes kwanza badala ya logo t shirt kama brands zingine amekuja na sequined sweatshirts ambazo zinasomeka  Beverly Hills Da Chaba this one vipi??maana unapenda slogan tee hizi ni sweatshirts.

Nilichogundua from his collection ni ANIMAL PRINTS INSTICTS ,naona animal prints zinarudi tena labda maana karibu collection nzima ina hizi ,from leggings to coats to dresses,also kulikua na HAIR ACCESSORIES ambazo sana sana walivaa kama vitambaa hivi kichwani ,THE COATS kwa wale wapenda makoti anzeni kuweka vibubu vya makoti kuanzia puffer jackets, leopard print oversized bombers etc ,HOOPED EARRINGS niliona nazo zilitawala.

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.