Fans Created these Hilarious Met Gala Meme Of Celebrities 2016 Met Gala Looks

Baada tu ya picha mbalimbali za what celebrities wore kwenye 2016 Met Gala event ,fans waka anza ku make fun of celebrities look kama kawaida wengi waki re create vivazi hivyo ,kuwakashfu na just having fun stuff on the internet.

Kila mtu aki tengeneza ki meme cha celebrity flani akifananisha mionekano yao na vitu au watu mbalimbali.Walotrend sana ni Beyonce na mdogo wake Solane,Rita Ora,Kimye nk.metgala memes (13)

Beyonce atajuta kuweka hii line ya Becky with Good hair maana gauni walilifananisha na Becky’s skin

metgala memes (12)

hahahhahaha this made me laugh Solange alivaa kigauni chake cha Yellow since dada katengeneza album ya Lemonade watu wakapata na cha kumsemea nacho metgala memes (11)

Kim had a Metallic silver look ,watu wakamuongezea na hilo li helmet la silver kha metgala memes (7)

OMG Tyler swift walifananisha muonekano wake maskini na Foil metgala memes (8)

Poor Rita Ora her dress was amazingmetgala memes (6)

Another one for Tyler Swift metgala memes (4)

This is also the funny one remember ile movie ya Angeline Jolie Maleficent??alikuwa na kofia kama ina pembe ndo walivyomuwekea Kris Jenner wawatu lolmetgala memes (9)

Katy’s hair was okay since it went okay with her dress

metgala memes (1)

Another for Kim,hata hapa i will pick her , as funny as this was she wore it bestmetgala memes (2)

The other celeb couple metgala memes (3)

Solange kasimangwaaa na her yellow dress

Which one was your funniest meme???/

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.