Fashion Tanzania::Swagga za Wasafi (WCB)

Naona Wasafi wamekuja na #mpya maana tulishazoeaga zetu save the date sasa wanasema save the money.

But leo niko interested na swaga za Wasafi kwenye shoot moja hivi walopiga wakiwa wanapromote hii show yao mpya.

wasafi (3)

Wakiongozwa na Diamond ambaye alivaa extremely mraruko wa jeans.

He paired the look with a simple knot t shirt with white sneakers wasafi (2)

Richi Mavoko styled his jeans with a t shirt and white trainers
wasafi (1)

Ranny yeye ali amua ku go black,jeans,t shirt,bomber jacket hadi sneakers wasad

Harmonize introduced a pop of color with his red sneakers.

which of the Wasafi boys killed it most na swaga yake???

Related Posts

Leave a Reply