Feza Kessy Styling the Track Pants Trend in two ways

Hello,Mwanamuziki na mtangazaji Feza Kessy katoa wimbo unaitwa Simple binafsi bado sijasikiliza i will soon ,but for now tucheki her outfit ,huwaga na yeye ana style flani hivi amazing sana,na hivi ana ka mwili portable huwa ananoga.

ONE with a crop top and jeans jacket waweza vaa blazer badala ya jacket la jeans

TWO wawezaa vaa na simple t shirt au crop top kama hii

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.