Flaviana Matata Alivyokutana na Washikaji zake Beyonce na Jay Z

Watu kibao wamevutiwa sana video ya our very own Model Flaviana Matata akiwa ana hang out na Queen B na mumewe Jay Z.

We all love this power couple na kuona Flavy anawapa hi ,we are  kind jealous hivi ,how amazing will it be kupiga hata tu picha na Bey na Jay Z ,let alone kuhang nao na ku hug .

Walikutana kwenye thebridge.hamptons car event 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.