Gigi Hadid Wears Nothing But Chanel Shoes On Her 1st “Vogue” Paris Cover.

Model wa huko majuu, GiGi Hadid mwenye miaka 20, ametokea kwenye cover la a fashion magazine “Vogue” la Paris akiwa hajavaa kitu chochote kasoro viatu vya Chanel na bangili katika cover moja na lingine akiwa amevaa pink blazer na accessories kibao.

GiGi amewahi kutokea kwenye macover mengi tu kabla ya hilo kama vile ya Condé Nast title — Australia, Italy, Brazil, Netherlands and Spain..lakini hili French version ya Vogue ni mara yake ya kwanza..well she has a great body why not show it of 

gigi hadid gigi hadid 3

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.