GRACA MACHEL TRUST IN TANZANIA

graca machel trust training Tanzania

GRACA MACHEL TRUST ,wiki kadhaa ilopita nilifanikiwa  kuhudhuria training ambayo imedhaminiwa na Mfuko wa Graca Machel ambao umejikita zaidi katika kusaidia wanawake na na watoto nchi kadhaa za Afrika

Hapa nchini mfuko huu unasimamiwa na Taasisi ya Networking African Business Women (NABW) ambayo inasimamiwa na Vida Nasari Mndolwa ambapo zaidi ya wanawake 30 tulipatiwa mafunzo ya ujasiriamali toka katika taasisi ya EMPRETEC ambao hutoa mafunzo ya ujasiriamali

Mafunzo haya yataendeshwa kwa muda wa mwaka mzima tukiwa chini ya uangalizi za wa GRACA MACHEL TRUST na walihusisha wajasiriamali kutoka sekta tofauti ikiwemo ya kilimo, ujenzi, habari, ufugaji, elimu nk

nilijaribu kushare hii kwenye social Media ::Facebook /instagram /twitter ::@8020fashions

na snapchat  pia nipo nifuate @shamim8020

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.