Hamisa Mobetto Aumizwa na Birthday Wishes ya Idris Sultan Kwa Diamond Platinumz ,Afuta Post na kuomba Radhi

Idris inawezekana alikua anafanya kazi yake ,may be hakumaanisha kumchukiza Hamisa ila ukweli Hamisa aliumia kiasi cha kuandika maneno kwa Idris Sultan.

Maneno huwa yanauma na utani ukizidi unakua sio mzuri,Hii ni baada ya Idris Sultan kumu wish Diamond kwenye birthday yake na wishes hii kugeuka kua chungu kwa Idris na Hamisa.

Idris aliandika hivi 

Hamisa hakupendezwa na kuamua kijibu  na kuonyeshwa kukasirishwa

Idris aliamua kufuta post na kuomba radhi

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.