HANDBAGS ZA GHALI KULIKO ZOTE TOKA MAJUU

HAYA WALE WENZANGU WA VIBUBU KUNA HIZI HANDBAGS AMBAZO KWAKWELI ZIMENIBAMBA ILA BEI YAKE NI YA KUVUNJA BENKI MAANA WAWEZA WEKA KIBUBU MPAKA MWISHO NA USIIPATE HELA NA ZIKATOKA ZINGINE ZIKAWA NZURI ZAIDI,ME NAITA HII NI FAHARI YA MACHO TAZAMA PENDA UKIWEZA NUNUA USISAHAU TU KUSHARE NASI HANDBAG YAKO MWEH.

HIZI BAGS NI ZA FALL KIPINDI CHA KIBARIDI HUKO MAJUU KIKIANA BAADA YA SUMMER NDO MAANA ZAITWA  THE 10 MOST EXPENSIVE BAGS OF FALL 2014.

HHGHGU

Givenchy Alligator Antigona Bag DOLA 35900

HYYT878

Fendi Calf Hair Peekaboo Bag DOLA 6750

HGHG87989

Fendi Peekaboo Crocodile Mini Bag DOLA 19500

GGGH

The Row Lizard Shoulder Bag DOLA 8,900

T7T5767

Delvaux Tempete GM Autruche BEI NI 18300

65657

Brunello Cucinelli Mink Fur Backpack BEI NI DOLA 7880

HGHGYU76878

Victoria Beckham Hexagonal Chain Python Shoulder Bag DOLA 5995

GFGHFHY

The Row Alligator Backpack DOLA 34000

GFHGH878

Givenchy Antigona Crocodile Clutch DOLA 12900

6676

Hermès Double Sens Chiffon Croco GM Tote DOLA 41000

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.