Harusi Kali za Weekend Hii ,Mwanamuziki AY Afunga ndoa huko Rwanda

Good Morning people

Issa Valentine Week right????mmejiandaaaje????kutoa zawadi hata kujinunulia tu zawadi mwenyewe kwa kujipenda.

Anyway every Monday tutakusanya wedding ziliofanyika kwa wiki iliyopita na kuzipost hapa ,since harusi ni nyingi na siku hizi zinavutia tutadokoa picha zile kali zilopostiwa kwa mitandao and post them here kwa ujumla.

What do you think of this idea???leo ndo itakua post ya kwanza kama mtaipenda please share your comment kwenye section below of course na mawazo yako pia yatakua highly appreciated.

Hongera nyingi kwa kaka yetu Ambwene Yesaya na shemeji

Ndoa ya Kwa Rwandese ila shemeji mkaliii

The first thing i noticed kwa huyu bride was her beautiful smile,flawless skin na kibanio chake cha pearls

kibanio kimenibariki jamani 

alipendeza sana sana 

being a gentleman

manifesterbrandI got this baby💫✨ @___boggy___
Makeup @divaglam_beauty.

Wedding gown @wedding_lydia
Suit by @speshoz .

😍 Vivian
Makeup @divaglam_beauty
Wedding Gown @pearlybrides .

her dress was amazing

the bow hapo kwa mbelee  i loooooved 

The beautiful Bifa ,jamani huyu dada ana shingo nzuri ,yassss napenda shingo ilokatika kama hivi 

How beautiful is she ,loved her off shoulder dress went so well with her crown

#queening #issaqueen

divaglam_beautyAnother #divaglambride
Makeup by our Resty
Photo by @petefarasi9
Accessories by @wedding_lydia
#divaglambeauty

with her King 

Hongera kwa  fortunestudiostz 

Praised be the Lord #thefortunes18

manifesterbrandReal Love, Sweet Love✨

@tower.dd @king_liah

natural hair bride kapendeza sana na nywele zake

Take it from her si lazima weavings/wigs hata natural hair zako zitakunogesha on your big day

Dr & Eng . Mr&Mrs Anice Lugendo’s Wedding

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.