Heels ni Kipaji ,Kristen Stewart zamshinda na kuamua kutembea peku kwa red carpet

She wore Chanel 2013 couture but this time yeye akalikata gauni lake likawa short

Kristen Stewart huwa heels zimemshindaga kabisa ,anajitahidi kuvaa akipigwa zake tu picha anavua na kutembea peku.

Hapa kapendeza but am sure kichwani alikua anawaza namaliza saa ngapi nivue hivi viatu

These she goes ,kwanini umfurahishe shetani wakati kiti anaumia

Alichoka sana 

huyoooo

 

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.