Heidi Klum is a fashion Icon But she Looked the worst in these Two dresses

Super Model Heidi Klum ni mwanamitindo ambae kwenye industry amekuwepo muda mrefu ,she knows the in and out of the fashion industry na amekuwa akitokelezea sana but recently kama touch yake imekuwa off hivi .Now alikuwa kwa list ya worst dressed kwenye tuzo za  Emmy’s with a sheer dress with one sleeve akarudia tena kwenye Oscars juzi mpaka nawaza what she was thinking ku make the same mistake twiceOscars_2016_red_carpet_fashion_best_dressed_celebrities_Heidi_Klum

This is the ombre dress she wore kwa Oscars juzi kati ina feature purple color na kwa mbele ina cut out inayo onyesha cleavage kwa sana tu ,the dress ina mkono mmoja mrefu na ua kwa bega la kulia,kiunoni na kwenye mkono

heid3

Heidi ni mwanamitindo mwenye body nzuri with features za uhakika but these dresses were off for her, too much sheer na cleavage bado mkono mmoja yani ilikuwa confusing

The dress is from MARCHESA.2C919ACE00000578-0-image-m-39_1442790427339

For the Emmy’s she wore a similar look ndo maana tukasema amerudia tena .Mana hii ni yellow ina sheer nayo mkono mmoja mrefu ,nyuma ina mikanda flani hivi i love the dress on the back na hizi florals but kulia na chini MMhhhh
heid

i wish the florals zingekuja hadi chini na huo mkono mrefu usingekuwepo.Again the dress had too much going on  i hate the feather part kwa upande wa kulia,i know she has super long legs alitaka ku show them off but nah for this one,the dress was from VERSACE.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.