Hermes Wanauza Hili Jiwe kwa Dola 840 Seriously????

Huwaga sometimes hizi brands kubwa wanakuaga na weird business ,yani pochi ni ghali hatuziwezi but price tunaelewa kwamba bags zina quality na nini but hii imeniacha mdogo wazi .

SERIOUSLY?????

Huwa wakitengeneza bags hizi kampuni zinauzaga material yalobaki ,mabaki kama haya mawe au wanatengeneza urembo wa kurembea pochi kupitia mabaki yalobaki wakati wanatengeneza vitu mbalimbali.

Hermes wao wanauza hili jiwe kwa dola 840 wanataka kulifanya hili special sana sababu tu ya huo mkanda wa leather ambao umepitishwa kwa juu.

Hili jiwe ni sawa na yale watu wanafanyia massage nafikiri ,wengine wanasuguliaga miguu,linaonekana ni laini sana.

But for karibia milioni mbili unanunua tu jiwe????

wataka kununua????ingia kwa website yao ,hadi color unachagua 

USA.HERMES

 

Related Posts

Leave a Reply