Hii Mishono Jikaze tu si Kwa Ubaya

Morning

leo tuna dedicate WCW kwa wanawake wote wanapeenda mishono,na wana shona pia nguo.Kama we ni mdau wa siku zote karibu,kama ndo first time unaona segment ya Mishono karibu iko mingi ,nenda kwenye search andika Mishono itakua ya kutosha.

chocolate babe

the back

same kitambaa mshono tofauti 

chocolate and gold

bell sleeves na sina habari ya mbele 

hii wiki sare zilikua brown

yellow mellow

Omo sexy

Adesua

pink fairy ,huu mshono ni special kwa watu kama Faiza hawaogopi kitu

blush

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.