Hii nayo ni aina ya Urembo ::: Shangazwa na Dain Yoon Ambaye ni Visual Illusion Artis

Duniani kuna aina nyingi sana za Art japo wengine wanakubali baadhi zingine watu hawakubali kama ni real art.Mwanadada Dain Yoo kutoka South Korea ambaye amejizulia umaarufu mkubwa ulimwenguni kote kutokana na aina ya art anayofanya.

HOW AMAZING IS SHE???

Anacho fanya Dain ni kwamba ana paint uso wake au mwili wake kuonyesha muonekano fulani au kitu fulani,ila ilonpa umaarufu zaidi ni utumiaji wake wa make up kufanya illusions kwenye uso wake,kwa kiswahili illusion  ni udanganyifu.

Anachukua masaa matano mpaka nane kujichora na kupata muonekano wake wa siku.Picha zitakusaidia kujua naongelea nini zaidi.

Mara nyingi anatumia makeup na rangi za kuchorea kujichora mwili wake,hatumii karatasi wala vitambaa eyey huchora mwili wake tu.

Video hizi zitakusaidia kuelewa zaidi anavyojichora

 

this video would help you to understand how i painted on myself. ?

A post shared by Dain Yoon 윤다인 (@designdain) on

final result

 

i cant stop watching these video,her talent is ridiculous

Parrots in Tahiti

A post shared by Dain Yoon 윤다인 (@designdain) on

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.