Hii ndo collection ya Rihanna x Puma on New York Fashion Week ,Vivazi hivi nimebaki MHHHH

Riri kwa sasa ni  the brand ambassador and womenswear creative director for Puma.Na juzi alionyesha kwa mara ya kwanza collection yake ya Nguo na Viatu kwa New york Fashion Week.FentyxPuma (5)hair

hairstylist wa Riri atwaye Yusef Williams, yeye ndo alihusika kwenye issue ya nywele na aliita hii style as “arctic chill hair masterpiece,” .

Hii style ni ile you simply LOVE IT OR HATE IT hamna in between looh.

FentyxPuma (7)

Kuna Mens wear pia kwa hii collection.FentyxPuma (22)

This trousers sijui waweza vaa two ways kama shorts then ukafunga mikanda ukavaa kama suruali wakaka mnakaziFentyxPuma (23)

Hakukua na handbags just these fur bags .FentyxPuma (8) FentyxPuma (13) FentyxPuma (12) FentyxPuma (11) FentyxPuma (10)

monochromatic looksFentyxPuma (9) FentyxPuma (4)

kwa mfano hii waenda nayo wapi???Mens wear za humu are hard to pull off ila kwakuwa ni Riri basi zitanunuliwa kama njuguFentyxPuma (6)

Kuna leggings zimeandikwa kichinaFentyxPuma (14) FentyxPuma (15) FentyxPuma (16)FentyxPuma (21)

over the knee sneakersFentyxPuma (20)FentyxPuma (1)

skirt na shortsriri

Riri kwa black carpet
FentyxPuma (25)

she closed the door in this oversized hoodie.

what do u think of the collection???

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.