HIJAB STREET STYLES

HIJABISTASTREETSTYLES (2)

Hijabista ni wengi mnoo but napenda street styles zao zaidi wanavyo show off how to rock skinny jeans au culottes ki street style zaidi.

Nlichogundua ni kuwa wengi wakivaa skinny jeans lazima wavae over sized shirts au cardigans au hata duster coats mbali mbali mradi tu wafuniko maeneo walobanwa sana na jeans yasionekane wakiacha sehem ya magoti tu .

kama huyo hijabista wa juu.

FATEMA

Lami post hata huko wanazo hapa hijabista kavaa pensi nyanya lake na denim shirt 

FATEMA2

Je wewe ni Hijabista tag us kwa insta @8020fashions au @mwanaidinuhu tuweze kukufeature humu siku za ijumaaa FATEMA3] HIJABISTASTREETSTYLES (1) HIJABISTASTREETSTYLES (3) HIJABISTASTREETSTYLES (5) HIJABISTASTREETSTYLES (4) HIJABISTA

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.