Hijabista :: Queen of Abaya Style

Ni Fariday zamani alikua model akijulikana kama Belina Mgeni,she is now a hijabista and anavaa vizuri Masha Allah stara imekolea .

Nilichat nae kwenye instagram akasema Lengo nikuwa inspire mabint wakiislam hata wakristo wasivae uchi ,na page yake si ya dini  kiislam tu ni ya watu wote .

kama wataka inspiration how to dress modesty basi cheki how she dress

maxi dress 

kimono

color blocking 

kitenge 

pleated maxi dress

for more styles na jinsi ya kufunga vilemba mcheki instagram Queen of Abaya style

 

 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.