HIJABISTA:AFRICAN PRINTS TOUCH BY SUBIRA WAHURE #279

IMG-20140723-WA0019NAOMABA NIMLETE KWENU SUBIRA WAHURI NI DESIGNER WA MAVAZI ,ILA PIA NI FASHIONISTA NA HIJABISTA KAMA UNAVYOMUONA.

ANACHONIBAMBA NI KUWA ANAVAA SANA VIVAZI VYA AFRICAN PRINTS,ANKARA SO MBALI NA KUJISTIRI PIA NI TEAM ZALENDO AS ANAPENDA SANA VITENGE.WE LOVE ZE LOOKS SUBIRA HAYA WANAOPENDA MISHONO HIYO MUMCHEKI SUBIRA KWA INSTA @SUSUKOLLEXIONS UPATE KIVAZI CHAKO.IMG-20140723-WA0018 Screenshot_2014-07-23-13-14-58-1KWAKWELI KUVAA HIVI KUNAVUTIA NA KUPENDEZA MAANA MBALI NA KUJISTIRI PIA KUWA STYLSH KWA KUMATCH VIVAZI NA HIJAB.Screenshot_2014-07-23-13-13-56-1 Screenshot_2014-07-23-13-13-16-1 Screenshot_2014-07-23-13-14-27-1 IMG-20140723-WA0024 IMG-20140723-WA0027CREDIT:INST @SUSUKOEXIONS

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply