Hili Laweza kuwa Jina la Mtoto wa Kiume wa Zarithebosslady na Diamond Platnumz atakaye zaliwa hivi Karibuni?????

zari-2

So weekend hii zari alifanya baby shower yake,according to her marafiki zake ndo walimuandalia yeye amechoka na walimlazimisha kwenda .

and the theme ilikuwa ni white and blue since mtoto atakuwa wa kiume insha Allah akizaliwa .zari-4

Jiugonjwa la haja

so wakati wengi wakiwaza mtoto may be ataitwa nani Zari alitaja jina through account ya Tiffah au whoever anaeji manage account hiyo

Alipost hiyo picha hapo juuu with a caption

About to welcome baby brother Prince Riaz…. Good morning

Now am still wondering hili ndo jina au atabadili ???

zari-1

Mother to ber wore a white highlow dress ,accessorized by a Tiara and flats
zari-3

Make up on point

Related Posts

Leave a Reply