Hili ndo Vali la Ali Kiba la kufungia Ndoa,Anafunga Ndoa Siku ambayo wazazi wake walifunga ndoa

We all know Ali Kiba leo ndo ana funga ndo huko Kenya ,mjini Momabasa,Ali Kiba ame share muoenakano wake wa kwanza wa vali lake la Nikkah .

Kapendeza Masha Allah bwana harusi
Hapa akiwa na mdogo wake Abdu Kiba na mama yake mzazi

Ame share picha hizia kwenye instagram yake akisema kwamba Siku ya leo Ndio Siku Mama Yangu Na Baba Yangu walifunga Ndoa ALHAMDULILAH 
#KingKiba

 

Related Posts

1 Comment

  1. Mwaran koko, very stupi kwa mwafrika kufunga ndoa unavaa kama mwarab, why hivi ni hatujitambui au nini? Kiba ni Muha wa Kigoma na wana mila zao, kwa nini analazimisha kuwa mwarab?

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.