Hivi ndivyo utakavyojua kama Foundation ni right color kwa ngozi yako

Wengi hili ni janga kujua foundation kama ndo the right one for you,limekua pia ni swali ambalo linaulizwa sana sana,na majibu huwa yanatolewa lakini pia bado wengi wanashindwa kupatia na kuishia kununua foundation ambazo ni light or dark zaidi ya skin tones zao.

Sasa Model Flaviana Matata ametoa siri hiyo ambayo naye alipewa na make up guru Bobbi Brown.

“There’s only one way to check if foundation is the right color… if it disappears completely when blended in. Otherwise don’t buy it” Tip from the makeup Guru @justbobbibrown

Njia rahisi ni kuhakikisha ukiwa unajaribu foundation hiyo sugua vizuri kwenye ngozi hakikasha ime blend well isipo blend basi jua sio color yako PERIOD 

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.