THROWBACK THURSDAY ::HUYU NDO MDADA NYUMA YA BELLA NAIJA NA SASA ASOEBIBELLA

HII POST NILI IANDIKA MWAKA 2014 DEC 1,YES KAMA BLOGGERS TUNAKUA INSPIRED NA MTU KAMA BELLANAIJA AMBAYE ANAFANYA VYEMA SANA ,ILA KWA SASA ANAPAA ZAIDI NA ASOEBIBELLA AMBAYO HUMO MISHONO YA KILA AINA UTAIKUTA .

HII NI KIDOGO KUHUSU YEYE,HOPE SHE INSPIRES KUFANYA ZAIDI KWENYE SECTOR AMBAYO UPO.

bhjhi

ANAITWA UCHE EZE PEDRO NI MDADA TOKA NAIJERIA AMBAYE NI MMILIKI WA LIBENEKE LA  BELLA NAIJA .NA ALIZINDUA HII WEBSITE MWAKA 2006 NA TANGU KIPINDI HIKO IMEKUWA INAPATA UMAARUFU SANA KUTOKANA NA KUWEZA KUCOVER HARUSI NYINGI MNO ZA HUKO KWAO NA IMEKUWA SEHEMU YA WATU WENGI KWENDA KUPATIA INSPIRATIONS KUTOKA KWENYE LIBENEKE HILO.

KWENYE WEBSITE YAKE ANACATEGORY NYINGI MNO KUNA BEAUTY & STYLE,MUSIC,CARRER,RELATIONSHIPS,GOSSIPS,MOVIES NA WEDDINGS AMBAYO NI MOST POPULAR BILA KUSAHAU LATEST NEWS.

NI MSOMI PIA AMBAE ANADEGREE YA BIASHARA TOKA UNIVERSITY OF WESTERN ONTARIO HUKO CANADA,

nbjhj

BAADHI YA RECOGNITION ALIZOPATA UCHE KUTOKANA NA BELLA NAIJA

She was rated #22 of the Top 100 people, places, events and things that shaped 2008 by PUNCH.

Uche Eze was a 2010 Future Awards nominee for “Best Use of Technology.

She was also given Outstanding Contribution to Fashion Communication Award at the 2010 Africa Fashion Week held by Africa Fashion International (AFI) in Johannesburg, South Africa.

In January 2011, Uche Eze emerged a finalist of Future Awards’ “Young Person of the Year”.

bvhj

jhjiui

nbghygu HUYU NDO MUMEWE UCHE AITWA BEDO PEDRO
hghghj

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.