Idris Sultan’s Stylish Way to Rocking A Statement Blazer

Idris loves fashion maana hata kwa kuangalia mionekano yake ni mtu utagundua kuwa he loves looking good but who doesn’t??

Juzi alikuwa host kwa Show moja siku ya Valentines and he made a fashion statement with his Maroon Blazer.12716468_940237096059402_962081906_n

Sometimes you dont need to wear a blazer kama tulivyozea the normal way  hata kuliweka mabegani kama Idris bado unaonekana stylish and you make a great statement hata bila other accessories.

#FashionTanzania12729493_1222363751127107_1384147292_n

He loooks good kwasababu alivaa White akaleta the Maroon Blazer kwa juu i mean he lookes dope.The blazer had a white pocket square.Blazer tu yenyewe imependeza mnoo kuwa paired with white.12407152_1525923344370322_1409881298_n

Other accessories alizovaa ni A chain ,saa na some bracelets.By the way hii blazer material yake ni ya Velvet.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.