INAYOBAMBA::LUPELA BY ALI KIBA

Ali Kiba ameachia nyimbo yake mpya ya Lupela ambayo amefanya through his global ambassadorship na partnership with Wildaid .The music video directed by Kevin Donovan.

Kwenye background ya video kuna Tembo wanapita na dancers wawili wamevaa mask kama za kichwa cha Tembo hivi.

Kuna kampeni ya Joij the HERD inayoendelea now.

enjoy the video.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.