INAYONIBAMBA ::NEW ‘MK’ MICHAEL KORS TOTE BAG

 

YES NI MPYA UKITOA YALE MAKAPU TULOYAZOEA SASA WAMELETA MAKAPU MENGINE KWA NGOZI YA UKWELI ZAIDI MAANA POCHI ZA MK NYINGI ZILIANZIA $400 KUSHUKA CHINI HADI WAJUZI WA MAMBO WAKASEMA KAMA NI MOJA KATI YA BRAND /DESIGNER WAKUJIFUNZIA KUMILIKI /KUNUNUA DESIGNER BAG (REJEA HII POST YA ZAMANI)  KINYUME CHAKE SASA WAMEKUJA JUU WAMELETA VITU CLASS NA NGOZI ZA GHALI ZAIDI AMBAPO  POCHI HIZI NYINGI WAMETUMIA NGOZI ZA WANYAMA KAMA MUONEKANO WAKE UNAVYOONEKANA NA BEI ZIMEHAMA NA ZINAANZIA $800 HADI 2500 KWA BAADHI YA POCHI , HIVYO MLIOKUWA MWASEMA MK NI BRAND CHEAP MJIPANGE TU SABABU SASA ZINAKIMBIZANA NA HIZO PRADA, LV, FENDI NKmk large tote

NA HII NI BEI YA HUYU TEMBO NA FARAC HAPO CHINI MKmk large tote1 mk lexie mk snake

SHUHUDIA BEI YA HUYU NYOKA HAPA MICHAELKORSmk

CHEKI BEI YA HUYU MAMBA HAPA MK

Related Posts

Leave a Reply