INGIZO JIPYA ::BLUE & LEMBA AKA GELE

TANGU MWANAMITINDO BELINA FARIDAH ATUPIE PICHA ZAKE ZA HARUSI TAYARI NISHATUMIWA PICHA KADHAA ZA SHUGHULI WATU WAKIWA WAMETINGA  SARE YA BLUE LACE NA MALEMBA AKA GELE ZA HOT PINK, BASI IMEKUWA HABARI YA MUJINIII RAHA ZAIDI NAONA WOOTE WANATINGA BLUE CHINI JAPO KUNA WENGINE WAMETINGA NA YELLOW…..NIGERIA SWAG OYEEE

gift time dance farid and farida belina wedding (41 of 42) farid and farida belina wedding (24 of 37)trend ng

HAWA WALIENDA SAMBAMBA ……NIMEPENDA NGUO YA BIHARUSItrend ng swag trend

WAPIII AUNT EZEKIEL SWAGtrend nigswag trend ns

HAWA BLUE AND YELLOWtrend nig

Related Posts

3 Comments

Leave a Reply