INGIZO JIPYA ::MINI TREND SNACKSKIN HANDLE

EEE MIKANDA YA NGOZI YA NYOKA NDO IMEGEUKIWA KWA SASA NA MADESIGNER WA POCHI DUNIANI, KAMA MUONAVYO HATA ILE POCHI PENDWA YA LV CAPUCINES NAYO IMETOLEWA YENYE MKANDA WA NYOKA KAMA KAWA BEI ZA UKWELI ZA LV NI $4400  KWA NDOGO BB $5600 KWA ZA KATI  MM NA $6050 KWA ZILE KUBWA GB

Louis-Vuitton-CapucinesJAPO WAJUZI WA MAMBO WANASEMA HILI BEGI NGOZI YAKE SIO SOFT NA NZITO  KULINGANA NA BEI ZAKE UKIANGANGALIA BEI ZA LV….ILA ME BADO NALICHANGIA KIBUBU …nina alfu ishirini na 2 😉

TREND HANDLE TGivenchy-Ayers-Accented-Antigona-Bag TBalenciaga-Padlock-Nude-Works-Tote

Related Posts

Leave a Reply