INGIZO JIPYA :POZI LA KUKATIZA “ZEBRACROSSPOSE”

 

I HOPE MWAKUMBUKA ILEE SERIES YA MAPOZI YA FASHIONISTAZ HII NI MPYA NKAONA NIIWEKE KWA INGIZO JIPYA MAANA HIZI FASHION WEEKS ZINAZOKIKI KWA SASA MAJUU MAPOZI NAYO YANAONGEZEKA HAYA HILI NI LA KUKATIZA BARA BARA AU TRENI NAONA LIMEBAMBA MAANA MAFASHIONISTA KIBAO SASA NDO POZI LAO.”ZEBRACROSSPOSE”

HUWA WANAKATISHA KWELI AU NI KWA AJILI YA PICHA TU SIJUI WHATEVER THE CASE NI POZI ZURI SIO KILA SIKU KUPISHANISHA MIGUU NA KUSHIKA KIUNO HILI JIPYA UKIPIGA TUPIA INSTA TUTAG @8020FASHIONS.

JICHO LA TATU WAKIKATIZA WANAONYESHA WALIVYOVIVAA KUANZIA VIATU,ACCESORIES NYWELE YANI MUONEKANO MZIMA WA VIVAZI WAONEKANA VIZURI USIGANDE TU KWA POZI CHEKI NA VAZI.

Screenshot_2014-09-25-14-45-49-1

BVGV BVCGXFXBNVHGH Screenshot_2014-09-24-17-30-35-1 Screenshot_2014-09-24-17-49-54-1 Screenshot_2014-09-24-17-28-27-1 BBVVHG VBVVGH Screenshot_2014-09-24-17-28-27-1 Screenshot_2014-09-24-17-20-53-1 Screenshot_2014-09-24-17-16-14-1 Screenshot_2014-09-24-17-27-51-1 Screenshot_2014-09-24-17-31-08-1 Screenshot_2014-09-24-17-15-55-1 VHGFHGFH Screenshot_2014-09-24-17-28-51-1 Screenshot_2014-09-24-17-38-05-1HATA KIMYE NAO  WALIBAMBWA WAKIKATISHA.,

CREDIT:FASHIONBOMBDAILY,NINISTYLE,SONGOFSTYLE,KTRSTYLE,BROOKLYNBLONDE.JUSTMISSEDTHERUNWAY

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply