INGIZO JIPYA: VIVA GLAM 2 BY RIRI

HGJYT7HABARI NJEMA KWA WANAOPEMDA BIDHAA ZA MAC NA MNAOMPENDA RIRI SO RIRI AMECOLABORATE NA MAC COSMETICS KWA MUDA SASA KUANZIA ILE RUBI WOO ILOUZIKA NDANI YA DAKIKA AKAJA NA VIVA GLAM ONE NA SASA NI VIVA GLAM TOO .

BEI NI $16 ENDIWOO DOLA KUMI NA SITA NI KAMA TSH 2600 HIVI.

MMEONA COVER YAKE?? RIRI ANANYWELE ZA KIJANI HAYA MNAOPENDA KUMFATA RIRI NYWELE HIZI MTAZIROCK??67676787HUWEZI KUAMINI KUWA RIRI ANAMPANGO WA KUTOA FAIDA YOTE ITAKAYOPATIKANA KUTOKA KUUZA HIZI LIPSTICK KWENDA KWA WATOTO NA WANAWAKE WANAOISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI KWAKWELI RIRI HAPA AMENIGUSA KUJITOLEA HUKU NI NADRA KWA MACLEB WENGI NA HATUNA BUSI KUMPONGEZA.T787867 HGHGJHJ HGJYT7CREDIT:DAILYMAIL

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.