INGIZO JIPYA:FAUX LOCS

HIZI ZINAITWA  MARLEY FAUX LOCS NI EXTENSION ZA DREADS NA KAMA HUJUI VIZURI WAWEZA HISI KUWA MTU HIZO NI DREADS ZAKE KUMBE NI AMESUKIA TU.ZIMEKUWA ZIKITREND SANA MAJUU NA HATA HAPA BONGO ILA SIJUI MWAZIITAJE NLIULZA NKAAMBIWA ZAITWA UTAWALETA SASA WENGINE MWAITAJE??TUJUZANE.

HIZI LOCS ZASIFIKA KWA KUKAA MUDA MREFU NA PIA WAWEZA OSHA NA KUZISTYLE VYOVYOTE UPENDAVY WEWE ZINAFANANA SANA NA DREADS .eef8111abd54c403d0955df07c5def65WAWEZA PIA WEKA COLORS KAMA HUYU ALIKUWA INSPIRED NA FASHIONISTA CLAIRE AMBAE ANA REAL DREADS ZA BLONDE.yyyuliCIARA NAE TANGU AJIFUNGUE HIZI NDO PICHA ZAKE ZA KWANZA NA ALITOKELEZEA NA HIZI LOCS NA WATU WAKASEMA LABDA ANAJARIBU MUIGA MUMEWE MTARAJIWA AMBAE ANA REAL LOCS WEWE STYLE MPYA YA CIARA WAIONAJE? gyguyKAMA HII YA ADDANA AWEZA HISI KUWA NI REAL LOCKS ILA UKWELI NI FAUX LOCS KWA MUDA TU NA ANAZITOA. gffygfUI7UYHCREDIT:PINTEREST

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.