Ini Edo dress is Fire Watch Out It Might Burn You

Nigerian celebrities are taking fashion into the next level ,siku hizi wanavaa nguo za ma dezaina wa ki arabu huko ,kwao wamepunguza kidogo.

This dress is by  Fouad Sarkis Couture,huyu designer hana mchezo ,he means business only

Ini Edo alidizainiwa this dress and its beyond gorgeous

the dress is Killer

 

love it

 

Related Posts

1 Comment

  1. amependeza kweli ila mi naona kwenye make up haijamtendea haki mana najua Ini ni mzr kweli ana sura flani hv baby face
    but hongera kwao wanaija wanajitahidi sana kwenye red carpet
    please bongo staaz igeni uku basi

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.