Ndani ya Kim Kardashian’s cherry blossom and Tea themed baby shower for 3rd child

Kim Kardashian ana expect mtoto wake wa 3 na husband Kanye West kupitia surrogate mother ambaye amebeba mimba badaka ya Kim since aliposhauriwa na madaktari kua asibebe ujauzito ni risk for her own life and the child.,to celebrate the arrival of their new bundle of joy akarusha bonge la party .

Ilikua ni cherry Blossom and tea themed party ,so palikua very pretty.Kim na Kanye wana watoto wawili North na Saint ,na huyu watatu wanamtarajia mwezi ujao wa December.

Wageni waalikwa walipewa perfume yake mpya ya  crystals as party favors as well as scents from her new perfume line.

Baadhi ya waalikwa walikua  Khloe KardashianKendall Jenner and Kylie Jenner, as well daughter North and Chrissy TeigenMaria Menounos and hairstylist Jen Atkin

It’s a girl

how cute is North??

Auntie koko

Kris Jenner and Chrisy Teigen

the crystal perfume iko ya kawaida na ya Oud 

 

Baby Shower # 3 Deco ?? #kimkardashian

A post shared by Kim Kardashian Snapchats ? (@kimksnapchats) on

 

Baby Shower # 3 ? ? #kimkardashian

A post shared by Kim Kardashian Snapchats ? (@kimksnapchats) on

Baby Shower # 3 ?? #kimkardashian

A post shared by Kim Kardashian Snapchats ? (@kimksnapchats) on

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.