INSTAGRAM FOR BUSINESS BOOT CAMP

Good Morning

Tulikua na Training ya #instagram4businessbootcamp kwa siku mbili Alhamisi na juzi Jumamosi.Training ilifanyika baada ya kuona uhitaji wa watu wengi kutokujua matumizi mazuri ya instagram kibiashara.

Mafunzo yali base kwenye kuhakikisha washiri wanajua jinsi ya kuchagua jina la instagram ,kuandika Bio zao,jinsi ya kutofautisha clients na followers na ku focus na clients kuliko followers heri kua na followers 100 wanaokuungisha kiliko ma Laki ambao hata hawa like wala kununua bidhaa zako,kingine ni umuhimu wa kutumia #hashtags ,picha gani za kupost,jinsi ya kutumia insta story na vikorombwezo vyote ,na mengine mengi.

Mshiriki akifika alikua anajisajili kwa kaundika email na namba yake ya simu then anapata file ambalo lina hivi vitu ndani.

Hawa ndio partners wetu mbalimbali

Muongozo mzima wa training ikiwa kwenye booklet,ki daftari cha kuandika kutoka kwa DISANACO ,pen toka NMB ,kijarida toka kwa Presis finance ,kingine ni popsocket kutoka kwa Lavy Products

Mambo yalikua fire

Trainers aliku a Shamim Mwasha na Kile aka Chef Kile mwenye Jisauti lake mjini

Shamim Mwasha akisisitiza Jambo

Chef Kile 

Washiri walipoingi waliji tambulisha kila mmoja akitaja jina na biashara anayofanya pomoja na insta page yake ya biashara ili kujuana maana huku zile oohh kumbe we ndo fulani zilikua nyingi.Networking ulikua mpango mzima.

Baada ya utambulisho Kile ndo alianza darasa lake  Hapo mambo yote ya jina la insta ,bio #hashtags na mengine yalihusika

Mafunzo yalikua pia kwa vitendo kwa mshiri mmoja mmoja ambaye alihitaji maelekezo zaidi

Team work pia kusaidiana na kujifunza kwa pamoja

Kulikua na breaks tatu za msosi

1.Breakfast ya kibabe kutoka kwa Uncle Kay ,yeye ndo alisimamia show ya msosi kuanzia Breakfast,lunch na chai ya jioni.

Ilikua kazi na dawa 

Jira kutoka kampuni ya Presis Finance aliongelea mambo mengi kuhusu finance kwenye umuhim wa kufanya usajili,mambo ya kodi .

Kama kwenye bango hapo wanafanya consultations za finance kwenye biashara yako wacheki

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.