INSTAGRAM FOR BUSINESS BOOTCAMP DAY 2

Good Morning

Tulikua na Training ya #instagram4businessbootcamp kwa siku mbili Alhamisi na juzi Jumamosi.Training ilifanyika baada ya kuona uhitaji wa watu wengi kutokujua matumizi mazuri ya instagram kibiashara.

Mafunzo yali base kwenye kuhakikisha washiri wanajua jinsi ya kuchagua jina la instagram ,kuandika Bio zao,jinsi ya kutofautisha clients na followers na ku focus na clients kuliko followers heri kua na followers 100 wanaokuungisha kiliko ma Laki ambao hata hawa like wala kununua bidhaa zako,kingine ni umuhimu wa kutumia #hashtags ,picha gani za kupost,jinsi ya kutumia insta story na vikorombwezo vyote ,na mengine mengi.

Mshiriki akifika alikua anajisajili kwa kaundika email na namba yake ya simu then anapata file ambalo lina hivi vitu ndani.

Hawa ndio partners wetu mbalimbali

Muongozo mzima wa training ikiwa kwenye booklet,ki daftari cha kuandika kutoka kwa DISANACO ,pen toka NMB ,kijarida toka kwa Presis finance ,kingine ni popsocket kutoka kwa Lavy Products

Mambo yalikua fire

Trainers aliku a Shamim Mwasha na Kile aka Chef Kile mwenye Jisauti lake mjini

Washiri walipoingi waliji tambulisha kila mmoja akitaja jina na biashara anayofanya pomoja na insta page yake ya biashara ili kujuana maana huku zile oohh kumbe we ndo fulani zilikua nyingi.Networking ulikua mpango mzima.

Hapo mambo yote ya jina la insta ,bio #hashtags na mengine yalihusika

We laughed and learned 

Training ilikua focus zaidi na vitendo ,kila mtu akiwa na simu yake

Kumfata mshiriki mmoja mmoja au kundi wakiwa na tatizo ,ku make sure kila mtu anaelewa na kwenda sawa na mwalim

Baada ya Breakfast wakaja watu wa Presis Finance ,huduma zao wameainisha kwenye bango hapo 

Jira alielezea all things finance,umuhim wa kusajili biashara,mambo ya investments,kulipa kodi ,nk

Aliwagusa wengi sana kwenye ulipaji wa kodi

lunch ilikua pilau ,ndizi nyama ,kuku ,chips kulikua na pilipili amazing sana

uncle Kay ulitisha sanaa

lunch time 

Juice ya stafeli ilipendwa sana ,na mie ntaitengeneza ilikua the bomb

BAADA YA LUNCH Da Shamim aliingia kuelezea mambo ya insta story

All things insta story kuhusu ku schedule post,kwenda live,kutumia sijui emojis nk

kutumia vyema hashtags ya #instagram4businessbootcamp

matendo yalikua kwa vitendo kuliko maneno mengi

kuelekezana kwa karibu zaidi 

Maza alikuwepo pia,na alitoa mafunzo mengi sana 

Da Sarah Mauki ane alikua mmoja wa patners na kampuni yake ya Disanaco enterprises wanahusika na kusambaza karatasi,vifaa vya mashuleni,business cards,fliers na mengine kibao

Alisisitiza sana kwenye kujiamini,kukimbilia fursa,kufata sheria za nchi pia

CERTIFICATES

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.