INTERNATIONAL WOMEN’S DAY 2016.

international womens day

Mimi naweka ahadi ya kupigania fursa sawa kwa kutamani mafanikio sawa kwa watoto wakike na wakiume ile dhana yakuwapa kipaumbele watoto wakiume nakuwaweka kando watoto wakike ikomeshwe.

Unachotakiwa kufanya tuma ujumbe / ahadi yako ya nini wataka tuma na picha yako ili tusambaze ujumbe Cc @twaorg

AUFOLLOW PAGE YAO @twaorg KWA MAELEZO ZAIDI.

HOW TO PARTICIPATE::

To participate you need to 1. Visit twa.or.tz/pledge and make a pledge. 2. Share your #HatujafikaBadomessage and photo in all your social media platforms and network. 3. Walk with fellow #GenderChampions on the 5th of March #PledeForCharityWalk at 6am from Uwanja wa Farasi Oysterbay, Dar es Salaam. 4. Create conversations and share campaign materials and images in your social media platforms and network! Cc @twaorg

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.