Iro and Buba Style from Folake

Iro and Buba ni style ya Kinaijeria ambayo unafunga kama ni lace,kitenge kwa chini na ndani yake unakuwa umevaa top either inayoendana au mixed print kama hivi.S0026

Sema this one hajafunga ile ki traditional sana ,kavaa kama sisi tunavyofunga kanga kawaida ile ,but kazungusha hadi nyuma.She matched her ankle strap sandals na top yake.S0176

I love her afro ila i wish siku moja jamani azibani ki pony tail maana kila siku ashausha hii style ya Bangs

S0054 (1)the shoes are on pointS0152

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.