Is Caitlyn Jenner following Kim Kardashians foot step and going for a Nude photo shoot???


Kumekuwa na reports za hivi karibuni that former Athlete turned reality tv star Caitlyn Jenner formerly known as Bruce Jenner ana mpango wa kufata nyayo za mwane wa kufikia Kim Kardashian alipofanya photo shoot ya paper Magazine akiwa naked.

According to reports Caitlyn anataka kufanya hivyo sababu hajapata media attention kwa mwaka uloisha wa 2016,na she worked hard to get the body she wants so kwake anataka ku show off.

Cait amekuwa hayupo sana kwenye spotlight mwaka jana sababu hata show yake ya AIM CAIT ilikuwa cancelled baada tu ya season mbili sababu haikuwa na enought viewers.

Other reports zainasema hizi habari za Caitlyn kufanya hiyo photo shoot ni uongo mtupu kwamba si kweli ,sidhani kama she can go to the extreme ya kuonyesha the world what she did to her male body body kuwa feminine ,and bado Cait hajafanya surgery ya kuondoa her male parts (its crazy)

Related Posts

Leave a Reply