JE WAWEZA NUNUA POCHI HII KWA DOLA 3000

HAYA WALE WA VIBUBU HII HAITUHUSU PAREFU MNOO NA JIPOCHI LENYEWE SI LA KUINVEST KABISA.ILA KWA WALE WENYE MSHIKO MWAWEZA NUNUA?HII POCHI NI LV KAMA NLIVOSEMA ILA MUUNDO WAKE UNA UTATA MWENZANGU KUWEKA MASHIMO INAHUSU HII POCHI INGEKUWA NZURI ILA HAYA MASHIMO SIJUI NISEME UWAZI UMEHARIBU.GGHHNAONA WAKAJUA KUWA WATU WATAKOMPLAIN WAKAWEKA KIMFUKO NDANI ILA MMHH NAHISI VITU VITAMWAGIKA KAMA SI KUTOKEZEA KWA NJE.

WE WAONAJE??IMEKUBAMBA????

Related Posts

Leave a Reply