JIFUNZE JINSI YA KUCONTOUR USO WAKO MWENYEWE.

Contouring inafanya uso wako uonekane more defined, na ili uweze kupatia vizuri unatakiwa kujua uso wako ni shape ipi, maana kila mtu sura yake ni tofauti na hivyo unatakiwa uiwezee sura yako. Angalia hii picha inaonesha aina za shape ya sura.

face shapes

  • Kama inavyoonesha hapo kuna oval, long, round, square, heart na diamond na zote zina njia yako ya ku contour.

Vitu utakavyohitaji::

  • Angled Brush
  • Blusher Brush and blush
  • Bronzing Brush and bronze
  • Highlighter (powder/creme)
  • Flat Brush

Ingia www.bongouzuri.com kumalizia kuisoma post yote.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.