Jinsi Lulu alivyopokelewa na Mashabiki wake Akitokea Niajeria alikoshinda Tuzo ya Best film East Africa kwa AMVCA 2016

3X6A7440

Elizabeth Michael ‘Lulu’ alipowasili jiji Dar akotokea Nigeria alikofanikiwa kushinda tuzo ya filamu bora ya Afrika Mashariki aliyoishinda huko Lagos Nigeria katika  tuzo za Africa Magic 2016,Hongera sana lulu.

So alikuwa kwa gari na akiwaapungua mafuriko ya mashabiki zake walojitokeza kumpokea na kumpongeza.1517306_187207241651010_493893371_n

msafara wa boda boda1516926_1572048199789107_131941483_n

akiwasili11350680_1583799628612296_1484432172_n

Am sure alifurahi sana maana watu walijitokeza sana kum support.12798188_1575904099368200_698564300_n

selfie na shabiki zake /team zake

12795320_10204189878906626_2391384956528699484_n

Deuces akicheka kwa furaha 12825817_225030737845118_399228539_n

For Lulu Wema Sepetu alimake an exception na kuacha mpango wake wa kuonekano June ,akaenda kum support Lulu12407611_1043410679049466_745432446_n

aliandaliwa tafrija huko escape one 12818887_175774216137391_161721049_n

Hapa akiongea na waandishi wa habari1897973_10204189880706671_483308090196002770_n

akisikiliza jambo kwa makini 12670771_10204189877146582_4813060286425424694_n (1)

Mama mzazi wa Lulu nae alikuwepo

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.