JINSI YA KUTOA HANG OVER

woman-having-headache-and-holding-ice-bagFirst of all unywaji pombe ni kwa watu wa umri wa miaka 18 na kuendelea na kama mtu mzima lazima ujue kipimo cha unywaji pombe na uwe responsible but huwa watu wanakunywa mpaka kupita kipimo na  kuamka ni kazi na hang over ya ajabu so hizi ni tips ambazo zitakusaidia wewe kutoa au kupunguza hang overaid595373-728px-Cure-a-Hangover-Step-1-Version-3

1.Keep Hydrated/Kunywa Maji kwa wingi.

De Hydration na lack of sleep ni two main causes of a bad hangover .So kunywa maji mengi ,pia coconut water itakusaidia.Alcohol ni sumu ambayo mwili inahitaji kutoa so kwa kunywa maji mengi uta dilute system yako ya mwili .Usinywe Coffee maana coffee in caffeine ambayo ita make matters worse kama vipi tumia ginger ale itasaidia ku calm your stomach.

2.You need to eat

 Vitu vya kula ni kama crackers,toasted breads vyakula hivi vitakusaidia ku alleviate nausea na mwili wako uta soak up the alcohol in ur system.Epuka vyakula vyenye acid au spicy maana ni vigumu kwenye kuwa digested ,na vyakula vya mafuta vinaongeza ile nausea/kujiskia kutapika  ni kutapika au kichef chef mpaka kutapika.

1352397552-the-morning-after__large

3.Fanya Mazoezi kidogo

Nenda kakimbie au go for a walk hata swimming will do uki exercise kuna kitu chaitwa endorphin kitatolewa kwenye wmili wako na itakusaidia ku improve ur mood ,maana mazoezi yana speed up the process ya metabolism hence itakusaidi kutoa alcohol kwenye system ya mwili wako.10-exercise

4.Sleep

Huwa Alcohol inavuruga sleep cycle yako na ndo  sababu una jisikia kuchoka ni kwa sababu umekosa usingizi so kama huna kazi kwa hiyo siku go back to sleep for some few more hours utajisikia vizuri ukiamka kama hutaki kulala kaa in a quite place pasiwe na mwanga mkubwa.Mwisho wa siku muda/time ndo treatment kubwa ya hangover just wait itaisha in due time.sleep-hangover-400x400

5.Kunywa Pain killers/relievers 

Kama waumwa sana nenda katafute pain killers and hakikisha unakuwa prescribed by a pharmacist kama unaumwa sana kichwa na usome instruction na make sure una take the recommended dose.

Note::

  •  Jua kuwa utumiaji wa dawa unasababisha a long-term damage kwenye maini especially ukitumia in conjunction with alcohol.
  • Kama dawa hazijakusaidia usinywe tena itabidi tu u ride with pain mpaka mwili wako utakapo recover .aspirin-hangover-400x400Jinsi ya kuzuia Kabisa Hang over

Moja Drink less  hii yaweza kuwa the best option na kumbuka kuwa alcohol ni sumu ndo maana wajisikia vibaya baada ya kunywa sana,so ku save ureself from the pain basi kunywa kidogo.aid595373-728px-Cure-a-Hangover-Step-13-Version-2

Kunywa maji glass moja kila baada ya Alcohol drink utakayokunywa hii itaprevent dehydration ambayo ndo sababu kubwa sana ya hangover,kama utasahau basi kabla ya kulala kunywa glass hata mbili .aid595373-728px-Cure-a-Hangover-Step-14-Version-2

Usichanganye vinywaji stick with one kama ni wine ,beer au type nyingine ukimix vinywaji tofauti tofauti ni lazima hangover itakuhusu.aid595373-728px-Cure-a-Hangover-Step-15-Version-2

Ushawahi kuwa na hangover ulifanyaje kuondoa ???

So hizo ni baadhi Mdau kama unazingine basi tujuze kwenye comments.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.