Jinsi Ya Kujua Kama Unanunua Bag Fake Au Original Online.

Siku hizi ladies ni mambo ya online shopping kwa sana, iwe nguo, viatu, mapochi unachagua tu unatuma hela kisha unatumiwa ulipo. Shopping is now that easy , ila kuna hasara yake pale unapolipia hela kubwa kwenye handbag nzuri uliyoipenda ukijua ni original alafu ikifika kwako kumbe it is a fake .

1.Kwanza kabisa do your research

Jinsi Ya Kujua Kama Unanunua Bag Fake Au Original Online 3

Kama kuna handbag umeipenda online na unataka kitu original, wale watu wa brands, hakikisha unafanya research kujua that bag original likoje, kama ni leather inaonekanaje, na logos zake zinatakiwa zikae wapi na rangi gani.

2.Usikimbilie offers

Jinsi Ya Kujua Kama Unanunua Bag Fake Au Original Online.

Jinsi Ya Kujua Kama Unanunua Bag Fake Au Original Online 5

Kama handbag unayoitaka bei yake huwa kubwa alafu siku unakuta online sehemu inauzwa kwa bei ndogo, basi ujue hilo bag ni duplicate, yaani limefojishwa au sio jipya ni second hand.

3.Pay attention katika details.

Jinsi Ya Kujua Kama Unanunua Bag Fake Au Original Online 2

Vitu kama zipu, rangi, nembo. Kama umeshaipokea pochi jaribu kufunga na kufungua zipu kama inakwamakwama jua sio original, angalia how the leather feels and smells, unatakiwa usikie harufu ya leather tu, ukinusa gundi au chemicals basi sio leather. NO ONE CAN FAKE LEATHER. Fake leather itakua inagandaganda na inamafuta.

4.Angalia mshono na lining yake.

Jinsi Ya Kujua Kama Unanunua Bag Fake Au Original Online 4

kama uzi umepinda au ni mwembamba, kama unashop online hakikisha unazoom kuangalia hiki.

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.