JISHOPIE MUONEKANO WA QUEEN BEYONCE

bey2

 

Beyonce hili pozi lake kashika vizuri kipochi tukione shurti nae apate pigwa picha nzuri.Its nice maana tunaotafuta kabeba nini asingeweka vizuri hapa tungebaki kuguess tu.Sleeveless Blazers bado zina bamba na Beyonce katinga la kwake  kama wataka kuona #FashionTanzania mafashionista wa bongo walivyotinga zama humu

bey

 

GET HER LOOK

 

bey4

bey3

Related Posts

Leave a Reply