JOAN RIVERS HALI YAKE TETE

Joan Rivers

KWA WALE WAFUATILIAJI WA FASHION WENZANGU JOAN RIVERS HALITAKUWA JINA GENI HUSUSANI KAMA UNAKIKODOLEAGA MACHO KIPINDI CHA FASHION POLICE AMBACHO BIBI HUYU WA MIAKA 81 HUKUENDESHA

HABARI MBAYA NI KUWA ALIENDA KUREKEBISHA MASUALA YA SAUTI KWA BAHATI MBAYA AKASTOP KUHEMA WAKATI AKIFANYIA MASUALA YA UPASUAJI WA KUMREKEBISHIA SAUTI ,

TUMUOMBEE BIBI YETU MWENYE VITUKO VYA HALI YA JUU KATIKA UCHAMBUAJI WAKE WA MASUPERSTAR WA MAJUU

Mbali ya hii ,alishajibyoga saana uso wake …..tumtie katika maombi Fashionista wetu.

 

The 81-year-old was having surgery on her vocal cords at a clinic in NYC when she suddenly stopped breathing during the procedure on Thursday August 28th

Related Posts

Leave a Reply