Jokate Mwegelo Asema mwaka 2018 Yuko Tayari Kupata Mume

Mrembo Jokate Mwegelo ameanza mwaka 2018 vyema anaonekana katika resolutions zake za mwaka huu moja wapo ni kupata mume kwa mwaka huu wa 2018 ,anasema sasa yuko tayari ,naona kashakua anataka kuanzisha familia yake  na yeye ,we all reach that certain age ambayo una acha mambo yote ya ujana na kutafuta mwenza wa maisha si tofauti sana na Jojo.

Amepost picha kwenye instagram yake akiwa amensika mwaka 2018 Umlete mume wake yuko tayari japo maneno haya nimetafsiri ila yeye aliandika kwa kuzungu.

Let’s all appreciate her dress ,looks amazing on her

Oh 2018 bring me my hubby already ?. I’m ready. ❤️

Related Posts

1 Comment

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.