Jokate Mwegelo was on her A Fashion game with Kitenge Ruffled dress from Doricite2000

jokate-4

Jokate ni moja ya influencers wakubwa sio kwenye urembo tu nafikiri hata kwenye maisha,ujasiriamali,elimu na mengine,hii imethibitika baada ya shule ya Majani ya chai kumualika kama mgeni rasmi kwenye mahafali yao jana.

Nimependa kwamba alivaa kutokana na mazingira ambayo alienda
jokate-3

And what a better way kama mgeni rasmi ambaye vijana wengi wanamuangalia na kuamua kuvaa nguo yake ya kitenge nzuri tu toka kwa Doricite2000

the dress features a high neck,long sleeves,ruffles na kipelum cha kishkaji
jokate-2

to complete her look she accessorized it with creme pumps,and a beltjokate-1

makeup was flawless with a bright red lipstick and updo for hair style

Related Posts

Leave a Reply