K.K.W ::PRODUCT REVIEW ::LUVTOUCH ESSENCE SHAMPOO & CONDITIONER

 

#PROUDLYTANZANIANO NI MOJA KATI YA PRODUCT ZA SHEAR ILLUSIONS ZILE ZA LUVTOUCH NAJUA USHASIKIA HUKUSU MAKE UP SASA TUNAHAMIA KWENYE NYWELE AMBAPO AMEANZA NA SHAMPOO  NA CONDITIONER, KAMA MJUAVYO ME NIMEJIUNGA #TEAMNATURAL NA NINASHARE SAFARI YANGU YOTE KUANZIA NINI NAPAKA , MAFUTA NA KUZIKUZA , SASA NILIKUWA NA TATIZO NI SHAMPOO ILI NITUMIA MAANA KWA SASA NAJIHUDUMIA MWENYE HIVYO NIKAWA NAHITAJI SHAMPOO NA CONDITIONER KATIKA KUKATIZA DUKANI SHEAR ILLUSIONS NIKAKUTANA NA HII LUVTOUCH AMBAYO INATENGENEZEWA KWA OLIVE OIL NA NIKASOMA INAVAA KWA ALL HAIR TYPE YAANI ZENYE DAWA NA SIO MANATURALISTA

product nitumiazo shamim mwasha zeze (12 of 13)

NILISHAWAAMBIA KUWA NATUMIA #T444ZHAIRFOOD KATIKA KUZIKUZA NYWELE NA JUZI KATIKA KUBADILI STYLE KUNA NYWELE NILISUKA ZICHEKI HUMU BAHATI MBAYA ZILINIKATA NYWELE ZANGU ZA MBELE  ,HIVYO KWA SASA HIVI NIPO KWENYE KUREPAIR NYWELE ZANGU ZA MBELE ZIOTE , KAMA MJUAVYO MI KILA SIKU NAJIFUNZA NIKASHAURIWA NITUMIE  #JBCO

SHAMIM T444Z

CASTOL OIL YA JAMAICAN BLACK CASTOL OIL #JBCO AMBAYO MIMI NAIPAKA KAMA SHAMPOO REPAIR NAIPAKA NUSU SAA HADI LISAA KABLA SIJAOSHA NYWELE MARA NYINGI NAPAKA ASUBUHI SABABU HII STYLE YA NYWELE NI WASH AND GO LAZIMA NIZIOSHE ILI NIWEKE ZITENGENEZEA KITAULO NA KISHA NAPAKA  T444ZHAIRFOOD SEHEMU ZILIZOKATIKA NYWELE NA CHINI YA NGOZI…..SOON NITARUDI KUJA KUWASHUHUDIA MAAJABU YA T444Z NA JBCO ….Si mwajua uchoyo si yangu jadi 😉

SHAMIM PRODUCT I USE

SHAMIM NATURALISTAR

SI WAONA ZILIOTA NA KUJAA KUTIMIA TANO KICHWA……AHSANTE #T444ZHAIRFOOD NA SASA NAMIX NA #JBCO NA HIYO SHAMPOO YA LUVTOUCH NA HIZI SHEAR MOISTURE ZINAJAZA SANA NYWELE NA KULAINISHA HATA UWE NA KIJINJA KIASI GANI NYWELE ZAKO ZINALAINIKA
product nitumiazo shamim mwasha zeze (6 of 13)
product nitumiazo shamim mwasha zeze (3 of 13)

KISHA NAPAKA IYO CURL ENHANCING SMOOTHIE ZINAZOSAIDIA NYWELE ZANGU KUWA LAINI ZENYE UNYEVU NA MWISHI NAPAKA CURL  & STYLE MILK KWA AJILI YA KUJISOKOTA
product nitumiazo shamim mwasha zeze (4 of 13)

LUVTOUCH  SHAMPOO & CONDITIONER ::ZIPO MADUKA YOOTE YA SHEAR ILLUSIONS

SHEAR MOISTURE & JBCO ::ZIPO MADUKA YOTE YA MIMIS COLLECTION

T444Z HAIR FOOD ::ZIPO BACK TO AFRIKA B2A DAR FREE MARKET CHUMBA NAMBA 70

CASTOR OIL ::IPO DUKANI KWA ALFU 40,000 TU ina matokeo mazuri soon nashare ushuhuda

Related Posts

6 Comments

  1. Asante kwa kushare nasi your natural hair journey. Tuko pamoja kwenye safari hii. Kwa ushauri tu, hiyo jamaican black castor oil uwe pia unapaka kwenye edges halafu massage kwa dakika kadhaa, usi wash out. Inasaidia sana kukuza nywele na kuzifanya ziwe nzito. Ningependa kujaribu hizi products za Shea Moisture. Mwenye kujua wapi yalipo haya maduka ya mimis tafadhali share. Pamoja….

  2. Hiyo style inakupendeza sana, kawaida wewe ni mzuri na hiyo style imekuongezea uzuri mara mbili, ila naomba ujibu maaan huwa haujibu comments, swali ni je baada ya kuapply vyote hivyo unazichana au unbrush, au unafanyaje? Kwa kifupi step ya mwisho ni nini?

  3. Asante sana kwa kutufahamisha ninatamani sana kuwa na nywele kama hizo – Natural like yours -, mimi nipo jijini Tanga na ni mdau mzuri sana wa blog yako, naomba uniambie nitapataje hizo product zote hapo juu – tafadhali nisaidie maana kufika Dar kwa sasa ni ngumu ila umesema huwa mnatuma hata mikoani. Waiting for ur response – dear.

Leave a Reply