Kama una vigezo hivi Saba then una chance ya kunasa Penzi la Lulu Diva

Naona shosti talk inasiadia japo sio kama ile ya Shamim Zeze kwamba utongoze ila hata tu kuweka wazi kwa public vigezo unavyotaka then this is major ,maana wengi wetu huwa tunaishia kuwa ambia tu marafiki zetu .

 

Msanii wa bongo fleva Lulu diva ametoa vigezo vya mwanaume anaemtaka.

Muimbaji huyo ameeleza kuwa licha ya vigezo hivyo, kwanza mwanaume huyo anapaswa kujua kwamba yeye ni msichana ambaye anapenda sana kudekezwa.

“Kwanza kabisa nampenda mwanaume smart mind, mtu ambaye ameshika dini anamuheshimu Mungu, pia gentlemen kama hivyo awe ananidekeza awe ananijali, listen, understanding, passion na Sacrifice,” ameiambia Mambo Mseto ya Citizen Radio.

Pia ameongeza kuwa licha ya kupenda kudekezwa, yeye ni msichana mtafutaji na mrembo, hivyo hababaishwi na vitu vidogo.

Isije ikawa zile memes dada unamuongelea Yesu hahaaha maana kuna watu wana vigezo ambavyo Yesu tu ndo anavyo.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.