Kanye West Looks Cute with his Kids for BAZAAR ICONS 2018

Jarida la harpersbazaar us kwenye September Issue wanakujana  BAZAAR ICONS 2018: The First Families of Music

but mie fan mkubwa wa Kanye i will only post him

Hapa ni Kanye ,North and Saint West sijui Chicago ni mdogo sana hakufaa kuwe kwenye cover za Magazines hizi au vipi.

Ujumbe wa Kanye kwa Watoto wake “I hope my children never lose their confidence to society.”

Kanye aliingia kwenye headlines hivi karibuni akisema jinsi alivyokua ana struggle na mawazo ya kujiua,akiwaza pia kuachwa na mke  wake Kim Kardashian sababu ya issue hii.

Related Posts

Leave a Reply

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.